12/02/2019

TIGER NETWORK. Mtandao wa kwanza wa kijamii wa Forex Traders Tanzania.

Sekta ya retail Forex trading imeongezeka kwa kasi sana hapa nchini Tanzania kufikia maelfu ya watu wanaotrade kwenye kompyuta na simu zao. Tumeshuhudia sekta hii ikiwakomboa vijana wengi kiuchumi. Kutokana na ukubwa wa sekta hii na wingi wa watu wanaojihusisha na biashara hii Tiger Network imekuja kuwaunganisha matrader hao popote pale walipo nchini na duniani kote. Tiger Network ni mtandao wa kijamii lakini umejikita zaidi kwa asilimia 99% kuwaunganisha forex traders mbalimbali, kuanzia wenye uzoefu mdogo hadi wenye uzoefu mkubwa.
Tiger Network haitozi chochote. lengo lake ni kusaidia traders wadogo wanaopata shida kukutana watu wenye uzoefu na trading.

JIUNGE SASA #LetsConnect

Transparent Social Trading Platform.
Imejengwa Kwa Upendo ♥ Na Traders Kwa Ajili Ya Traders.


HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger