Uongozi wa Klabu ya Polisi Tanzania Yadhibitisha Kocha Matola Kuikacha Timu Hiyo

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Uongozi wa Klabu ya Polisi Tanzania umethibitisha kuachana na kocha wake Msaidizi Selemani Matola ambaye amepata ajira katika timu nyingine.

Msemaji wa Polisi Tanzania, Frank Geofrey amesema wameachana na Matola bila tatizo lolote na wamemtakia kila la kheri katika maisha yake mapya.

Geofrey amesema hawatatafuta kocha msaidizi mwingine, kwani Kocha Mkuu Ally Mtuli atasaidiana na kocha wa viungo katika kuiongoza timu.

Matola amerejea Simba kuchukua nafasi ya Denis Kitambi, ambaye ataondoka baada ya mchakato wa kupatikana Kocha Mkuu ukikamilika

Uongozi wa klabu ya Simba umewasiliana na Shirikisho la soka Tanzania (TFF) ili kupata ruhusa ya kumchukua kocha msaidizi wa timu ya Taifa ya Tanzania bara 'Kilimanjaro Heroes' Suleiman Matola kuanza kibarua cha kuwanoa mabingwa hao wa nchi.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad