12/14/2019

Walichokizungumza Uongozi wa Yanga SC baada ya Mzee Akilimali kufariki dunia



Uongozi wa klabu ya Yanga umetuma salaam za pole kwa aliyekuwa Katibu wa Baraza la Wazee wa Yanga, Mzee Ibrahim Akilimali.

Ukurasa wa Klabu hiyo umeandika "Klabu ya Yanga inasikitika kutangaza kifo cha Mwanachama wetu Maarufu na Mzee wetu Ibrahim Akilimali kilichotokea alfajiri ya leo Bagamoyo Mkoani Pwani. Maziko yanatarajiwa kufanyika kesho saa 10 jioni Tandale kwa Mtogole."

"Innah lillah wainnah ilayh rajiuun.. Haikuwa Dunia ila ni mapito."
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a Comment

Loading...

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger