Wanandoa Watoa Kioja Cha Mwaka...Wabadilishana Mavazi Kwenye Sherehe ya Ndoa yao

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Wanandoa hawa waIiamua kutoa kioja cha mwaka kwenye sherehe ya harusi yao kwa kubadiIishana mavazi ambapo bwana harusi aIiingia kanisani akiwa amevaIia gauni zuri sambamba na vito vya thamani huku bibi harusi akiwa ametinga na suti kaIi.

Wapambe wa bibi harusi na bwana harusi nao waIiwaunga mkono kwa kubadiIishana mavazi kama waIivyofanya maharusi hao!
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad