20 Wapoteza Maisha Kufuatia Shambulizi la Kigaidi Katika Kambi ya Jeshi Nchini Mali

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Watu 20 wamepoteza maisha katika kijiji cha Segou nchini Mali kufuatia shambulizi la kigaidi lililofanywa katika kambi ya jeshi.

Habari iliyotolewa na serikali yaMali na kuandikwa na vyombo vya habari inasema kambi moja ya jeshi katika kijiji cha Sokolo ilishambuliwa na magaidi mnamo mida ya asubuhi siku ya jana.

Habari za kwanza zilizopatikana katika tukio hilo, watu 20 walipoteza maisha na wengi zaidi kujeruhiwa. Magaidi hao waliiharibu vibaya kambi ya jeshi kisha wakatoroka.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad