Alichokisema Samatta Baada ya Kucheza Mchezo Wake wa Kwanza Akiwa Aston Villa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Mbwana Samatta ambaye anatarajiwa kuwa Mtanzania wa kwanza kucheza fainali ya michuano ya Carabao Cup nchini Uingereza itakayopigwa kwenye dimba la Wembley mnamo tarehe moja mwezi wa 3 baada ya hapo jana usiku klabu yake mpya ya Aston Villa kuwachapa Leicester City mchezo wa nusu fainali kwa mabao 2 – 1 na hivyo kujikatia tiketi ya kusonga mbele kwa idadi ya magoli 3 – 2.

Samatta kupitia ukurasa wake wa instagram aliyaandika maneno na kusema…“Nina furaha kwa ushindi wa jana usiku ikiwa ni mchezo wangu wa kwanza, Nashukuru kwa upendo mzuri kutoka kwa mashabiki, Tulicheza vizuri na Sasa tunaelekea Wembley”



Baada ya ushindi wa jana Aston Villa sasa kukutana kwenye mchezo wa fainali utakaochezwa tarehe 1/3/2020 katika uwanja wa timu ya taifa ya Uingereza Wembley jijini London.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad