1/14/2020

Breaking NEWS: Viongozi wa Ulaya waingia kwenye mzozo mpango wa nyukilia wa IranViongozi wa Ulaya wameanzisha mchakato wa kuingiza kwenye mzozo mpango wa nyukilia wa Iran, baada ya nchi hiyo kulegeza msimamo wake kuhusu mpango huo.

Iran ilijiondoa katika masharti yaliyofikiwa katika mkataba huo yanayodhibiti viwango vya uzalishaji madini ya urani, ambayo inaweza kutumiwa kuunda silaha za nyuklia.

Inasema ilifanya hivyo kujibu vikwazo vipya ya Marekani dhidi yake ilipojiondoa katika mkataba wa nyukli mwaka 2018.

Ufaransa, Ujerumani na Uingereza zimesema hazijaridhishwa na hoja ya Iran.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Click Below to Subscribe

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger