Breaking News: Waziri wa Mambo ya Ndani Kangi Lugola ajiuzulu


Rais wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amekubali ombi la kujiuzulu kwenye nafasi yake ya Uwaziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Kangi Lugola kutokana na sababu mbalimbali.

Rais Magufuli amesema hayo wakati akizungumza kwenye ufunguzi wa nyumba 12 za Askari Magereza kwenye Gereza la Ukonga jijini Dar es salaam, ambapo ameeleza kulikuwa na mkataba ambao ni wa ajabu.

Rais Magufuli amesema kuwa "ninajua Waziri wa Mambo ya Ndani hayupo hapa ameshaandika barua ya kujiuzulu na mimi nimeshamkubalia"

HIZI HABARI ZA HIVI ZINAPATIKANA UDAKU SPECIAL >BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIALLoading...

Breaking News: Waziri wa Mambo ya Ndani Kangi Lugola ajiuzulu Breaking News: Waziri wa Mambo ya Ndani Kangi Lugola ajiuzulu Reviewed by Udaku Special on January 23, 2020 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.