Diamond Platnumz "Katika Show niliyolipwa Vizuri ni Hii Show ya CAF Wamejipanga"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

"Mimi ndo msanii pekee toka Afrika ambae nimepata nafasi ya kualikwa na kufanya show katika tuzo hizo na kati ya show zangu zote hii ndo nimelipwa vizuri, kiukweli nimefanya show nyingi ila malipo ya show hii ya CAF nililipwa vizuri sio uongo na nimehudhuria Tuzo nyingi sana Duniani, lakini tuzo za CAF kiukweli jamaa walijipanga sanaaaaa kwa sababu walikuwa na maandalizi ya hali ya juu'' alisema Daimond.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad