Familia ya Kifalme ya Uingereza imekubali Mwanamfalme Harry na Mkewe Kujiondoa kutoka Shughuli za Kifalme

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Familia ya kifalme ya Uingereza imekubali mwanamfalme Harry na mkewe kujiondoa kutoka shughuli za kifalme

Familia ya kifalme ya Uingereza tarehe 18 usiku imetoa taarifa ikikubali mwanamfalme Harry na mkewe kujiondoa kutoka shughuli za kifalme. Mpango huo utaanza kutekelezwa katika majira ya mchipukizi mwaka huu.

Taarifa hiyo inasema kwa mujibu wa mpango, mwanamfalme Harry na mkewe watafutwa vyeo vya kifalme, hawatashiriki kwenye shughuli mbalimbali kwa niaba ya familia ya kifalme, na hawatapata fedha zinazotengwa kwa shughuli za kifalme.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad