Hii Hapa Sababu Kubwa Inayowafanya Wanawake Kupiga Kelele Wakati wa Tendo la Ndoa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Kumekuwa na tabia au hali ya wanawake wengi kupiga kelele au unaweza kusema kutoa sauti wakati wakishiriki tendo la ndoa. Hali hii imeacha maswali kama kutoa huko sauti ni jambo la asili au ni mwanamke mwenyewe anaamua hapa atoe sauti na kwingine asitoe.

Mwaka 2011 watafiti wawili mmoja kutoka Chuo Kikuu cha Lancashire na mwingine kutoka Chuo Kikuu cha Leeds wote wa nchini Uingereza walichapisha utafiti wao walioufanya uliokuwa ukihusu utoaji wa sauti wa kati wa kujamiina. Walitaka hasa kujua kwanini wanawake hutoa sauti hizo.

Katika utafiti huo, waliwahoji wanawake 71 wenye umri kati ya miaka 18 na 48 ambao hushiriki mapenzi mara kwa mara juu ya utoaji wa sauti wakati wa kujamiiana.

Katika utafiti huo ulibaini kuwa wanawake wengi huto sauti hizo lakini sio pale tu wanapokuwa wamefika kileleni. Asilimia 66 walisema kuwa hutoa sauti wakati wa kujamiina ili  kuwasaidia wenza wao kufika kileleni haraka, wakati asilimia 87 walisema kuwa hutoa sauti hizo ili kuwaongezea wenza wao kujiamini kwa kile wanachokifanya kuwa wapo sawa.

Wanawake walieleza kuwa mara nyingi hutoa sauti wakati wenza wao wanapofika kileleni. Baadhi pia walieleza kuwa sauti hizo huwasaidia kuwaondolea uoga walionao, hali ya kutojisikia kuwa sawa, wakati mwingine kuondoa maumivu lakini pia kama njia ya kufurahia raha anayokuwa anaipata.

Aidha, wataalamu hao walisema kuwa kwa vile wanaume wengi huhusisha utoaji wa sauti na mwanamke kufika kileleni, basi baadhi ya wanawake hutoa sauti hizo kwa uongo ili tu kuwaridhisha wenza wao waone kila kitu kipo sawa.

Kwa upande mwingine, imegundulika kuwa wanawake si jamii ya wanyama pekee ambao hutoa sauti wakati wa kujamiiana kwani hata nyani (baboons) wana aina zao za sauti ambazo huzitoa wakati wakijamiiana.

Imeelezwa kuwa wakati mwingine huwa ni vigumu sana kuelezea kila kinachotokea wakati wa kijamiiana kwa sababu kila mtu huwa na utashi wake. Lakini kitu wataalamu walichokubaliana ni kuwa sauti hizo zinaweza kumsaidia mwenza kujua kama anachofanya ni sasa hivyo aendelee au aache, aongeze au apunguze.

Andika Maoni yako Hapo Chini Utuambie nini Kinamfanya Mpenzi Wako Apige Kelele Wakati wa Kuhondomola au Kama Wewe ni Mwanamke Tueleze Sababu ya Nini Kinapelekea Hadi mnapiga kelele wakati wa game,Zingatia Lugha yenye tafsida isiyokuwa na matusi.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Replies
    1. Inategemea ila mimi nachoona kama mwanamke huwa ni raha inakufanya ku-scream hata kama hujafika kilele its just something you cant explain no one Can understand the feelings ..also watalaamu wameongea ukweli wanawake sometimes tuna ongopa kwa mfano ukilala na mtu humpendi na unataka mmalizane harakaharaka au una expect something from him after tendo la ndoa so una-scream ili ajue anakufurahisha au anakupa raha kumbe hamna lolote/pia sisi wanawake Hu-scream zaidi hasa ukimpenda huyo jamaa unae make nae love u just feel him deeply thatswhy or sometime kuna kama kajimaumivu flani kimechanganyikana na utamu . ..huu ndio opinion yangu au comment yangu..

      Delete
  2. Ile kuscream inatusaidia sisi wanaume kupata hamu ya kuendelea kupiga game kwa kujiamini bila kuchoka,na endepo mwanamke kampenda mwanaume 100% ni lazima atascream tu ili kumfanya mwenza wake endelee kupiga show bila kuchoka,ila kama mwanamke hakupendi hawez kukupa moyo uendelee na game atachoamua atakuachia tu upige game umalize fasta then uondoke tu, hata unapokua kwenye uwanja wa mpira unacheza mpira,kila unaposkia skia mashabiki wako walioko nje ya uwanja wanakupigia makofi na kukushabikia ujue ndio wanakupa moyo na hamu ili ujikaze na ucheze mpira kwa bidii, the same as when the women scream in sex

    ReplyDelete

Top Post Ad