1/21/2020

Huddah "Nimetembea na KILA Aina ya Mwanaume Duniani..Sasa Niko Tayari Kuzaa"

Mjasiriliamali na mwanamitandao ya kijamii wa nchini Kenya @huddahthebosschick amefunguka kuwa kwa sasa yupo tayari kuzaa na kuingia kwenye ndoa kabisa kwani ameshafanya kila kitu cha ujana

Huddah amefunguka ' Najua mwanaume wangu unaingalia hii, mwanamke bora wa kumuoa ni mimi Madam Alhuda. Acha nijipigie talumbeta, nimeona kila kitu niko tayari kuwa mama wa watoto wa 5, amesema Huddah

Huddah ameongeza kuwa' Hawa wanawake wanaotoka na wavulana nalaumu sana ujana wao, hawakufurahia maisha. Nimetoka kimapenzi na Wachina, Wahindi, Wanaigeria, Wakenya. Kipindi nina miaka 21 nilijaribu kila kitu. Kutembea kufuata wanaume sehemu mbalimbali, sasa hakuna cha kunistaajabisha. Namtanzama mwanaume jinsi alivyo sio alichonacho kwenye kaptula yake😊, nimeona ya kila aina', amefunguka Huddah

JE KUPITIA MAISHA YA KUWA KWENYE MAHUSIANO NA WATU WENGI KUNAMFANYA MTU ATULIE KWENYE NDOA?
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a Comment

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger