1/11/2020

Huyu Hapa Ndio Kijana Alie Zaa na Tausi Mdegela..Wadau Wadai Anabemendwa

Baada ya kumaliza kujipamba, Tausi Mdegela atundika muonekano wake huo mpya kisha kuwataka mashabiki wasicheze mbali kwani picha za Pavitra zinakuja -

"Vumilieni kidgo natafuta camera nzuri nimpige picha mtoto" amesema staa huyo wa filamu -

Pichani kushoto ndie baba mtoto wake kwa jina la Chris ambaye hata hivyo mitandaoni wengine wanadai Tausi anambemenda kijana huyo mfanyabiashara wa nguo, huku wengine wakiwamiminia pongezi wazazi hao kwa kupata mtoto wa kike.
TAZAMA WIMBO WA ROSA REE ALIOIMBA KIMASAI
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

1 comment:

  1. MUNGU WANGU (CHILD ABUSE)HUYU KIJANA MBONA NI MDOGO SANA,NA VIJANA WA SIKU HIZI UVIVU UNAWAPONZA WANAPENDA BURE HAYO SASA

    ReplyDelete

Click Below to Subscribe

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger