Kangi Lugola Chini ya Uchunguzi wa Takururu Kwa Ufisadi

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola yupo chini ya ulinzi unaomfanya asiweze kusafiri sehemu yoyote bila Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) kuwa na taarifa

Lugola aliondolewa Uwaziri baada ya kuhusishwa na kashfa ya Mkataba wa Tsh. Trilioni 1 wa ununuzi wa vifaa vya Jeshi la Zimamoto na Uokoaji

Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU, Brig. Jen. John Mbungo alisema, uchunguzi huo umeanza kama sehemu ya utekelezaji wa maelekezo ya Rais Magufuli aliyekabidhi suala hilo kwao kwa hatua zaidi na kuisihi Mamlaka hiyo kutowaonea huruma waliohusika

Mbungo alisema, wataanza kupata Nyaraka zinazohusu Mkataba huo na kuhoji kila anayejua na aliyeshiriki katika mchakato wa mkataba huo, ikifuatiwa na kuwahoji watuhumiwa

Aidha, Kangi Lugola hakuonekana katika Ufunguzi wa Vikao vya Bunge Januari 28, 2020 Jijini Dodoma
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad