KOCHA wa Aston Villa Amsifia Mbwana Samatta Hivi Baada ya Mchezo wa Jana...

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

"Nadhani Mbwanna Samatta alifanya vizuri" - Maneno ya Kocha mkuu wa Aston Villa, Dean Smith baada ya game ya jana.

Meneja anaendelea kusema: "Nilijua atachoka baada ya dakika 60-65. Aliwapa wakati mgumu mabeki wa timu pinzani haswa Soyuncu na Evans.

Aliiunganisha timu vizuri nadhani wakati mwingine atakua bora zaidi. Nadhani alihitaji kuweka miguu yake vizuri ktk kipindi cha pili kwa nafasi ambayo Jack Grealish alimpa.

Ametuonyesha uwezo mkubwa alionao.."
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad