AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Ni jambo limenishangaza kifupi sina tabia ya kumfuatilia mpenzi wangu iwe kwenye simu au kwenye mambo mengi but hii ilinibidi tuu.
Wakati mchumba wangu alipokuja kwangu weekend hii na kushinda siku tatu nikajitoa ufahamu ili nisiishi kama fala nikajikuta nikiwa room nikachukua mkoba wake nikawa naangalia nilihamaki baada ya kukuta mafuta ya KY na babycare, mawazo yalinipeleka mbali sana kwa kweli hadi kupelekea kuvuta picha tuwapo faragha mbona my wangu sehemu zake za siri siyo kavu labda huwa anakauka (lubricant)?
Sasa nikakosa jibu ila nikaogopa kumuuliza maana ningeweza kuzua mengine. Sasa nijikaze nimuulize au nitumie njia gani kumuuliza au haya mafuta ya ulainishaji anatembea nayo kwa ajili gani na hajawahi kutumia na mimi...
By kelly
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
Mkiwa faraga jaribu kupenyeza line namba 2
ReplyDeleteMuulize mkiwa sita kwa sita
ReplyDeleteSiku jifanye kama umekosea alafu jaribu kupeleka uume huko nyuma alafu mwanga lie reaction yake
ReplyDeleteDaaah!Pole sana aise hayo mafuta yanatumika kupaka kwenye sehem ile ili kulainisha hiyo sehem wewe cha kufanya muulize tu hayo mafuta ya nini kweny mkoba wako
ReplyDelete