1/16/2020

Nugaz Aukubari Mziki wa Kagera Sugar "Ilikua Bora Kuliko sisi"


Afisa muhamasishaji wa Yanga SC Antonio Nugaz ameongea na waandishi wa habari baada ya Yanga SC kufungwa magoli 3-0 dhidi ya Kagera Sugar katika uwanja wa Uhuru mchezo wa Ligi Kuu Tanzania bara msimu wa 2019/2020.

Nugaz amekubali kuwa Kagera Sugar ilikuwa bora kuliko wao ndio maana wao wakapoteza mchezo huo, Kagera wao walitengeneza nafasi zote ambazo walizitumia lakini Yanga wao wamepata nafasi nne na kushindwa kuzitumia ndio maana wameadhibiwa.
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger