PICHA: Kangi Lugola Akiwa Bungeni Baada ya Kutumbuliwa Uwaziri Mambo ya Ndani

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Mbunge wa Mwibara(CCM) Kangi Lugola akiwa Bungeni hii leo jijini Dodoma akihudhuria vikao vya Bunge huku akitumia 'ipad kusoma na kutafakari kikao cha pili cha Mkutano 18 wa Bunge.

Kangi alikuwa Waziri wa mambo ya ndani ambaye uteuzi wake ulitenguliwa juma liliopita.

Lugola aliondolewa Uwaziri baada ya kuhusishwa na kashfa ya Mkataba wa Tsh. Trilioni 1 wa ununuzi wa vifaa vya Jeshi la Zimamoto na Uokoaji

Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU, Brig. Jen. John Mbungo amesema, wameanza uchunguzi dhidi yake kama sehemu ya utekelezaji wa maelekezo ya Rais Magufuli aliyekabidhi suala hilo kwao kwa hatua zaidi na kuisihi Mamlaka hiyo kutowaonea huruma waliohusika
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad