Samatta aanza kazi Aston Villa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



 Mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Ally Samatta akimiliki mpira kwenye mazoezi ya klabu yake, vwanja vya Bodymoor Heath, jirani na Kingsbury, Kaskazini mwa Warwickshire.


Samatta aliyesajiliwa Aston Villa wiki hii kwa dau la Pauni Milioni 10 kutoka KRC Genk ya Ubelgiji anatarajiwa kuanza kazi rasmi katika klabu yake hiyo mpya Jumanne itakapomenyana na Leicester City katika Kombe la Ligi England.

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad