Samatta Asajiliwa Aston Villa, Sasa Rasmi EPLSTRAIKA wa Timu ya KRC Genk ya nchini Ubelgiji na nahodha wa timu ya taifa ya Tanzania, Mbwana Samatta amejiunga na klabu ya Aston Villa inayoshiriki Ligi Kuu ya Uingereza kwa ada ya £9m.

Samatta atatambulishwa rasmi kwenye klabu hiyo leo mara baada ya kufanyiwa vipimo vya afya
HIZI HABARI ZA HIVI ZINAPATIKANA UDAKU SPECIAL >BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIALLoading...

Samatta Asajiliwa Aston Villa, Sasa Rasmi EPL Samatta Asajiliwa Aston Villa, Sasa Rasmi EPL Reviewed by Udaku Special on January 17, 2020 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.