Shilole Mwanamke wa Shoka Atangaza Kugombea UBUNGE Kwao Igunga Mwaka Huuu...

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

ANAANDIKA SHILOLE : Mimi Shishi ambaye ni mbunge kivuli wa mda mrefu wa kujitolea wa jimbo langu la Igunga na ambaye sipo rasmi bungeni kwasasa.

Naisubiria kwa hamu kubwa siku isiyokuwa na tarehe lakini ni mwezi wa kumi jumapili moja hivi asubuhi ya mwaka huu 2020 baada ya ibada ya kwanza, ni siku ambayo nitatangazwa rasmi kama mbunge mwakilishi wa jimbo la Igunga.

Nimefanikiwa kuiweka Igunga kwenye ramani nzuri ya Tanzania bila ya kuwa mbunge rasmi kwahiyo sitashindwa kuifanyia maendeleo Igunga yangu nikiwa mbunge rasmi pale mjengoni.
Wazee na Vijana kwa pamoja nipokeeni kijana wenu nakuja tuiendeleze Igunga.
Mimi Shishi I am currently the defacto Igunga's MP (Power without portfolio). That Sunday Morning of the unknown date in October this year 2020, I will be declared as an official member of Parliament representing the constituency that I hold dearly in my heart and that I love the most, which is none other than Igunga.

I have fought so hard to make Igunga shine on the Tanzanian Map, now is the time to become a real lady of the people's choice and serve them with full instruments of power.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad