Jibu la TESSY Baada ya Taarifa Kusambaa Kuwa Yupo Kwenye Mahusiano ya Siri na Diamond

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Ni headlines za mzazi mwenza na Asley aitwae Tessy amekanusha juu ya taarifa zinazosambaa mitandaoni kuwa zinazodai kuwa amewahi kuwa kwenye uhusiano na Diamond

Shtumu hizo zimekuja baada ya Tessy kuonekana katika safari mbalimbali zinazoandaliwa na Diamond ikiwemo ile ya Kigoma

Taarifa si za kweli na hakuna mwanadamu asiekosa cha kuzungumza ama kuzusha unajua instagram ukiandikwa vibaya unaweza kupaniki na kuwajibu ila mimi nakaa kimya'- Tessy

Diamond tunaheshimiana sana sana'- Tessy
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad