Video ya Wema Sepetu na Mwanamuziki Lulu Diva yazua Utata


VIDEO iliyosambaa kwenye Mtandao wa kijamii wa Instagram ya msanii wa filamu Bongo, Wema Sepetu na mwanamuziki, Lulu Abbasi ‘Lulu Diva’ imezua utata wa aina yake. Utata huo ulikuja kutokana na warembo hao kuonekana wakibusiana na kuwa karibu sana kitu ambacho mashabiki wengi walitafsiri kuwa huenda kuna mchezo mchafu wanafanya na kumtahadharisha Wema kuwa makini na marafiki.

“Sasa hivi yuko na Danzak (mpenzi wa Wema wa sasa) lazima marafiki watakuwa wengi sana. “Hahaaa! Ushetani waufanye wengine aibu nione mimi, aaasubutu! Nikomeee”, zilisomeka baadhi ya komenti kwenye video hiyo.HIZI HABARI ZA HIVI ZINAPATIKANA UDAKU SPECIAL >BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIALLoading...

Video ya Wema Sepetu na Mwanamuziki Lulu Diva yazua Utata Video ya Wema Sepetu na Mwanamuziki Lulu Diva yazua Utata Reviewed by Udaku Special on January 23, 2020 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.