Ajali za Helikopta zaendelea Kuwa Janga..Nyingine Hii hapa Yapiga Chini na Kuua Watu Wawili

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Helikopta  moja ya mizigo yaanguka huko nchini Urusi katika eneo la Yamal Nenets. Watu 2 miongoni mwa watu 10 waliokuwamo katika helikopta hiyo wafariki dunia.

Wizara ya mambo ya dharura nchini Urusi imetoa taarifa kwamba helikopta hio aina MI-8 imemeguka vipande vipande. Miongoni mwa watu 10 walikuwamo kwenye helikopta hiyo  watu 2 wamefariki dunia.

Uchunguzi zaidi juu ya sababu zilizopelekea kuanguka kwa helikopta hiyo mali ya shirika la ndege linalofahamika kama Skol Airline, unaendelea.

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad