Daktari Asema Corona Haiwezi Kuishi Kwenye Damu ya Mwafrika

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


CORONAVIRUSES (CoV) ni virusi vinavosababisha mafua na ugonjwa unaoathiri mfumo wa hewa  wa  Middle East Respiratory Syndrome (MERS-CoV) na Severe Acute Respiratory Syndrome (SARS-CoV). Coronavirus (nCoV) ni virusi vipya ambavyo vilikuwa havifahamiki kwa binadamu.

Senou ni mwanafunzi wa Cameroon aliyeko China aliyekumbwa na Coronavirus lakini aliondoka hospitalini akiwa ameponyeshwa kabisa janga la virusi hivyo.   Madaktari wanaotafuta tiba ya virusi hivyo walishangaa kumwona Senou akiwa mzima licha ya virusi hivyo kuua watu 1,112 tangu ulipoanza huko Wuhan zaidi ya mwezi mmoja.

READ More: Madhara ya Kutofanya Tendo la Ndoa Muda Mrefu


Madaktari hao walithibisha kwamba Senou aliendelea kuishi kutokana na nguvu ya asili ya muundo chembe za damu ambayo hupatikana kwa Waafrika walioko kusini mwa Jangwa la Sahara.

Pia madaktari wa China wamesema mtu huyo aliendelea kuishi kutokana na ngozi yake ya rangi nyeusi ambapo kinga ya mwili  ya mtu mweusi ina nguvu mara tatu ikilinganishwa na ngozi nyeupe.

“Watu weupe wanaipiga vita rangi nyeusi kwa vile  ina ulinzi mkubwa dhidi ya magonjwa wanayopanga na kuturushia, jambo linaloonyesha kwamba mtu mweusi hawezi kuangamizwa.  Miili yetu ina vitu vyote vya asili vinavyotawala dunia hii.  Sisi ni wamiliki wa ulimwengu huu, hivyo (watu weupe) hawawezi kutuangamiza,” anasema daktari mmoja kutoka Afrika kuhusiana na jambo hilo
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad