2/15/2020

DC Hai Ole Sabaya amuwashia moto Mbowe “Afanye maridhiano kwenye chama chake kwanza ndo atoe madai yake”


Mkuu wa Wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro Lengai OLE Sabaya amefanikiwa kugawa vyombo vya usafiri aina ya Pikipiki vikiwa jumla 17 kwa  makatibu kata 17 katika Wilaya hiyo ya Hai.Mbali na hilo Ole Sabaya amemtaka mbunge wa Wilaya hiyo na Mwenyekiti wa Chma cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Mh. Freeman Mbowe kufanya maridhiano kwanza kwenye chama chake ndio adai madai yake.
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a Comment

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger