google-site-verification: googleb0bc30c3e5fdb812.html Dogo Janja Asikitishwa Kucopy Wimbo wa JEJE wa Diamond na Wimbo wake NURU “Wanapenda kucopy, Tutaharibu muziki wetu” – Video | UDAKU SPECIAL

Dogo Janja Asikitishwa Kucopy Wimbo wa JEJE wa Diamond na Wimbo wake NURU “Wanapenda kucopy, Tutaharibu muziki wetu” – Video

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Msanii wa muziki wa Bongo Fleva Dogo Janja amefunguka kwa urefu zaidi baada ya kutoa wimbo wake wa NURU na kuonekana baadhi ya location zimefanana na wimbo wa Diamond JEJE ambazo zote wamefanyia Zanzibar.

Dogo Janja amemtupia lawama Director wa wimbo huo kwa kumpeleka sehemu ambayo msanii mwingine alisharekodi wimbo wake pale “Mara nyingine madirector huwa mnaelewana mapema na wanakwambia we njoo na nguo zako tu na hii hutokana na kwamba maelewano yenu mmelipana vipi lakini kuna madirector wanatkuachia wewe utafute kila kitu mpaka location” mara nyingine madirector wajifunze sana ndio maana ukienda klabu husikii nyimbo zetu unasikia nyimbo za Nigeria tu huenda mashabiki wameshatuchoka kutokana na kuiga kila kitu, kuna wasanii wengine wamekuwa addicted na kucopy”

Mbali na hilo Janjaro pia ametoboa siri kuwa katika wimbo wake huo mpya wa Nuru alimshirikisha Nandy lakini alikuja kumtoa na yeye kuufanya peke ytake kwa sababu ya ubize wa Nandy manaa aliona gharama zinakuwa kubwa sana.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad