FIFA imemfungia Maisha Mchezaji wa Uganda

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Shirikisho la soka Ulimwenguni FIFA limetangaza kumfungia maisha kujihusisha na soka aliyekuwa mchezaji wa zamani wa club ya Kakamega Home Boys George Mandela kutokana na kukutwa na hatia ya upangaji wa matokeo.

George Mandela akiwa katika tuhuma hizo nzito pamoja na wachezaji wenzake Moses Chikati, Festus Okiring na Festo Omukoto wao wamefungiwa miaka minne kujihusisha na soka kutokana na kuwa sehemu ya mchakato huo wa upangaji wa matokeo.



Kosa la upangaji wa matokeo Mandela alikutwa nalo mwaka jana akicheza Ligi Kuu ya Kenya akiwa anaitumikia club ya Kakamega Home Boys, Mandela hadi anatangazwa kufungiwa maisha alikuwa club ya Gaddafi FC ya Uganda.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad