Je, Ntakuwa Nimemuharibu Mtoto? Nimefanya Mapenzi na Mwanaume Ambaye si Baba wa Mtoto...

Mimi nina mtoto wa miezi 10 sasa, niliachana na aliyenipa ujauzito nikiwa na mimba ya miezi 2 mwaka jana mwezi wa 2, na tangu mwaka jana nilikua sijakutana kimwili na mwanaume yoyote yaani nimekaa mwaka 1 na miez 5.

Miezi mitatu iliyopita nilikutana na kaka mmoja akawa anataka kunioa, but juzi nikashiriki nae tendo kibinadamu, na mimi na hisia kweli.Nilisex nae mara 1 tu na nilienda kuoga kabla sijamnyonyesha mtoto.

Naomba kuuliza inaweza kumdhuru mtoto?

Je, nifanyeje?

Msinielewe vibaya ndugu yangu baba mtoto yuko mbali na ana mwanamke mwingine .

Hana muda na mimi kabisa, mimi ni binadamu hisia zilinizidi tu nikawa nimefanya hivyo.
HIZI HABARI ZA HIVI ZINAPATIKANA UDAKU SPECIAL >BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIALLoading...

Je, Ntakuwa Nimemuharibu Mtoto? Nimefanya Mapenzi na Mwanaume Ambaye si Baba wa Mtoto... Je, Ntakuwa Nimemuharibu Mtoto? Nimefanya Mapenzi na Mwanaume Ambaye si Baba wa Mtoto... Reviewed by Udaku Special on February 14, 2020 Rating: 5

15 comments:

 1. kwavile ulikoga hadhuriki

  ReplyDelete
 2. hawezi kudhurika ila tu uwe na mmoja,kwani ukichanganya wanaume tofauti sio vizur na hautamtendea haki mwanao.

  ReplyDelete
  Replies
  1. Mtoto atanyonya uchafu may be atumie kondomu na aoge jasho

   Delete
 3. pole sana na hongera kupata mwingine

  ReplyDelete
 4. phocus,,,,,,,usinge1 August 2015 at 18:42

  hawezi kuzulika

  ReplyDelete
 5. Ukimaliza kuoga ukamue maziwa kwanza ndio umnyonyeshe mwanao hata kama ungelala na baba mtoto unatakiwa ufanye hivyo.

  ReplyDelete
 6. Kama hukutumia kinga unaweza ukawa umempa mtoto magonjwa hasa ukimwi

  ReplyDelete
 7. Ungeulika kwanza kabla ya kufanya, saa hizi unaleta style ya kufunga mkokoteni mbele farasi nyuma

  ReplyDelete
 8. Anonymous august 2, 2015 at 9.08pm. Una akili sana what a nice answer. Nimeipenda

  ReplyDelete
 9. Anonymous august 2, 2015 at 9.08pm. Una akili sana what a nice answer. Nimeipenda

  ReplyDelete
 10. Jaribu tigo tuuuu, huwezi pata tatizo wala mtoto hatadhurika

  ReplyDelete

Powered by Blogger.