2/14/2020

Jela Miaka 30 Kwa Kumbaka Shemejie wa Miaka 23


Mkazi wa Kijiji cha Buganda, Wilaya ya Misungwi, Bossco Amoni (20), amehukumiwa miaka 30 jela kwa kosa la kumbaka mtoto wa miaka 12

Hakimu Mkazi Mfawidhi wa Wilaya hiyo, Eric Marley, alitoa hukumu hiyo baada ya kusikiliza ushahidi wa pande zote mbili ukiwemo wa mtoto aliyebakwa

Mtoto huyo kwenye ushahidi wake, alidai alikuwa akienda nyumbani kwao Kijiji cha Ngudama na njiani alikutana na mtuhumiwa ambaye ni shemeji yake

Mtuhumiwa alimuomba amsindikize dukani kununua wembe na akampitisha njia ya vichakani na alipofika kwenye mti wa mwembe alimbeba na kumlaza chini na kumvua nguo kwa nguvu na kisha kumbaka

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger