2/24/2020

Huu Ndio Muonekano Mpya wa Binti Kiziwi Baada ya Kutoka JELA nchini China Kwa Madawa ya Kulevya

Huo ni muonekano mpya wa Sandra Khan maarufu kama Binti Kiziwi baada ya kumaliza kifungo chake cha miaka 8 jela nchini China baada ya kukutwa na hatia ya kuingiza madawa ya kulevya nchini humo. Kwa mujibu wa taarifa Binti Kiziwi alirudi Tanzania kimya kimya December 2019 baada ya kumaliza kifungo chake ndio maana hata mapaparazi walishindwa kujua mapema -
-
Z Anto ambaye ndie aliimba wimbo wa Binti Kiziwi na kumpa nafasi ya video queen iliyompa umaarufu, Ijumaa hii alimtembelea mrembo huyo anayeanza maisha mapya baada ya misukukosuko iliyompata
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a Comment

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger