2/13/2020

Manara na Nugaz wapelekwa kwenye kamati ya nidhamu


TPLB imewapeleka kwenye kamati ya nidhamu viongozi wa vilabu Haji Manara na Antonio Nugaz pamoja na Makocha Luc Eymael na Hitimana Thiery ambao hivi karibuni wamekuwa wakishutumu na kutoa matamshi yenye kukashifu na kudhalilisha viongozi, Chapa (Brand) ya Ligi kuu.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger