Mazoezi 3 ya Haraka ya Kunenepesha na Kurembesha Makalio

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Hakuna mwanamke asiyependa kuwa na umbo la kupendeza na umbo bila tako si umbo.

Wengi wanawake hufanya kila nia kuhakikisha kuwa wanapata umbo wanalotaka, wengine wakienda kiasi cha kufanyiwa upasuaji na wengine kutumia matembe almuradi wawe na makali mazito.

Si hayo tu wapo baadhi ambao huvalia nguo kadhaa ama kutumia makalia bandia ili kuonekana warembo.

Hizi hapa njia rahisi za kunenepesha makalio bila kupata taabu yoyote.

Kuinama

Simama imara na uhakikishe kuwa mgongo wako umelainika kisha uiname sawa na mtu anayetaka kukaa hakikisha kuwa magoti yako hayapiti viganja vya miguu.

Rudia hii mara 3 hadi unapokamilisha raundi 20.



Kuruka na kuinama

Panua miguu huku umesimama kisha uiname na kutia mikono miwili kati kakati ya miguu chini.

Rudia hii mara kadhaa huku ukiruka na kurudi katika nafasi hiyo hiyo.

Hakikisha kuwa unanyoosha magoti ukiendelea kuridia zoezi hili.



Kuinukia kwa mgongo

Lala kichalichali  kisha uikunje miguu na mikono yako iuweke kando kando.

Kaza mikono kisha uinuke kwa mgongo na uhakikishe kuwa mgongo huo unasalia kuwa laini.

Rudia hii pole pole mara sita.



Mazoezi haya unatakiwa kufanya mara tatu kwa wiki ili kupata matokeo ya haraka.

Hakikisha kuwa unakunywa maji ya kutosha na kupunguza vyakula vyenye mafuta.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad