"Nawashangaa Sana Wanao Ondoka WCB WASAFI Eti Wanasema Wananyonywa


"Nawashangaa sana watu wanao ondoka WCB WASAFI eti wanasema wananyonywa... Yani mimi nipo nje napata sapoti ya kawaida nafaidika saana je ikitokea nimesainiwa niingie ndani sasa si ningefurahi saana hao wanaosema wananyonywa sijui wanahitaji nini labda hatujui."
Ameyasema hayo Msanii "Dullysykes Amefunguka

HIZI HABARI ZA HIVI ZINAPATIKANA UDAKU SPECIAL >BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIALLoading...

"Nawashangaa Sana Wanao Ondoka WCB WASAFI Eti Wanasema Wananyonywa "Nawashangaa Sana Wanao Ondoka WCB WASAFI Eti Wanasema Wananyonywa Reviewed by Udaku Special on February 13, 2020 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.