Nimeona Utupu wa Mke wa Mtu..Sasa Imekuwa tabu!! Ushauri

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Ilikuwa wiki moja iliyopita.Wakati wa asubuhi naingia bafuni kuoga kumbe kulikuwa na mke wa jirani yangu ambaye pengine hakusikia ujio wangu nami sikujua kama yumo.

Ile anataka kutoka tu pale mlangoni,kanga yake ikaanguka na akabaki mtupu Macho hayana pazia niliona utupu wake nae aliona kuwa nimeona.Ile tu anajizoazoa kujisitiri akateleza akaanguka ikabidi nimsaidie kumuinua , nikamwinua huku akiwa uchi wa myama na kuhakikisha hajaumia popote ...then nikamfunika na kumwambia pole nikaondoka kiistaarabu.
Ila sasa naona ustaarabu wangu uliniponza sasa naona ananifanyia vituko Mwanzo nilifikiri yameisha,alianza kwa kukwepesha macho na mimi,,mara akajenga mazoea na mimi.Na sasa vituko vimezidi,mara sms za ajab,wakati wote anataka kujua niko wapi na nafanya nini, siku ingine ananiletea chakula alichopika nile..

Kwa tabia na msimamo wangu naheshimu sana ndoa za watu.

Nishaurini nifanye nini kumuepuka ? Nimepanga chumba hapa na nimelipa kodi ya mwaka mzima,ni jirani tu chumba cha nne toka kwangu
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hiyo ni issue kubwa mwanangu!! Fanya juu chini usepe hapo. Yatakutokea puani, Usalama ni kila kitu, fikilia kama ni mkeo anafanyiwa hivyo na ukaja gundua au ukamkuta mgoni wako itakuweje??!!! Fedha ni kitu gani? Fedha zinatafutwa ila amani ikipotea kupatikana ni shida.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Swadakta Mdau, Amani ikipotea Muullize Mbowe na Genge
      lake Alivyo Hamasisha Tukamchunia Watanzania.

      Je wewe ni Mtanzania? kama siyo basi Kuwa.

      Delete
  2. Mpe kuni ajirizishe au wew kibamia

    ReplyDelete

Top Post Ad