Unapigwa Picha Unapewa Elfu 5...Watu Wajazana Mwananyamala..Haijulikana Picha zinakwenda Wapi

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Jamani kama video inavyojieleza, wakazi wa Mwananyamala wanakusanyana kwenye ofisi za serikali ya mtaa, wanapigwa picha na kulipwa shilingi 5,000 kila mmoja. Picha hazijulikani ni za nini. Na kwa siku wanalipwa hadi watu 100 mpaka 120. JE Hapa kuna mchezo ? Kama ni data Collection kwanini wanaopiga picha wasiambiwe zinapigwa kwa sababu gani? Kuna Haja ya kuingilia kati kuhoji hili zoezi. Hao wapiga picha na Mwenyekiti wa mtaa wabanwe vizuri hizo picha ni za nini!!

SOMA HABARI HIZI KIRAHISI KUPITIA APP YETU YA UDAKU SPECIAL DOWNLOAD HAPA

Fatilia vizuri hii video mjionee tulikofikia sasa kama nchi, watu sababu ya njaa wanajipanga mstari kupigwa picha bila kujua zinaenda wapi na kupewa sh 5000

Tazama Video:

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad