11/22/2020

UREMBO: Namna ya Kufanya Ngozi yako iwe Laini....


Tumia Mafuta ya Nazi yaliyochanganywa na Carrot. Huu ni mchanganyiko ambao unautengeneza mwenyewe. Tumia mafuta ya nazi gm 250 na karoti moja yenye ukubwa wa wastani

Parua karoti yako katika kiparulio kinachotoa karoti iliyosagika kabisa. Bandika mafuta yako ya nazi jikoni kisha weka karoti uliyokwisha kuparua, wacha vichemke. Ipua ukiona karoti imekuwa brown

Yakishapoa yanakuwa tayari kwa kujipaka. Unaweza kuweka Rose water, Karafuu au Marashi yoyote uyapendayo. Hii pia ni tiba kwa ngozi iliyofubaa kwa jua, upepo au mafuta
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 [disqus]:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger