VIDEO: Elton John amwaga machozi stejini "Nimepoteza sauti siwezi kuimba inabidi niondoke"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Weekend hii haijaisha vizuri kwa Mwanamuziki nguli na mkongwe Dunian, Elton John ambaye alishindwa kuendelea na show yake nchini New Zealand kutokana na changamoto zakiafya zinazomkabili msanii huyo ambaye anadaiwa kusumbuliwa na tatizo la Mapafu ( Pneumonia).

Elton John alijikuta akimwaga machozi kwenye stage baada ya kujikuta akipoteza ya kuimbia ndipo ikabidi awaeleze mashabiki wake kuwa hataweza kuendelea na show.

”Nimepoteza sauti yangu kabisa, siwezi kuimba, itabidi niondoke, Samahani” – Elton John

VIDEO:
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad