Wasichana Wapiga Mizinga, Mnajiaibisha Mbele ya Wanaume

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Unakutana na msichana mrembo anavutia kwa muonekano na angalau mnaendana mfano dini etc. Unaamua kuanzisha uhusiano nae kwa malengo ya kuwa mwenzio wa maisha (Mke).

Sasa kidogo anaanza kukuambia naomba uninunulie simu yenye whatsapp, mara naomba hela ya mchango wa kitchen party, mara naomba kod ya nyumba, mdogo wangu kafukuzwa shule hana ada, twende Zanzibar holiday.

Zote hizi ni hela daah! hapo hamna hata wiki mbili. Kwa style hii aisee mtatukosa. Sikatai kukusadia lakin isiwe too much jamani kumbuka na mimi nina dhiki na ndugu kama wewe!

Ukija Kipesa Pesa Nitatumia Pesa Siku mbili tatu nikikuchoka Tupa Kule na Uzuri Wako ! Ubaki ukisema Huna Bahati na Wanaume!! Kubaf
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad