3/22/2020

Penzi la IRENE Uwoya na Lava Lava wa WCB..Lava Lava Afunguka Ukweli Wao

Lavalava amesema watu wanampakazia kuwa anatembea na Irene Uwoya ila sio kweli Uwoya ana mtu wake spesho na yeye pia ana demu wake kwenye mahusiano

Hakuna siku ambayo tulitangaza kuwa tuna uhusiano, watu wanatengeneza maneno tu na kuyasambaza, mimi sina uhusiano wa kimapenzi na Irene (Uwoya).

Hapana, Irene hajawahi kuwa mtu wangu na wala kwenda naye sehemu yoyote. Huo ni umbea tu, watu wanautengeneza na mimi ndiyo najua ukweli kuwa hakuna kinachoendelea maana nina uhusiano na mtu mwingine tofauti na huyo Irene.
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a Comment

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger