Christina Shusho Afichua SIRI "Mwanamke Unavyoficha zaidi Mwili Wako Ndio Watu Wanakutamani zaidi"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


"Siri moja nayopenda kuwaambia wadada ni kuwa, kadri unavyoficha mwili wako ndio unavutia zaidi na kufanya watu wakutamani. Maana siku zote mtu anatafuta kile kisichoonekana lakini unapokuwa tayari umevaa nguo za ajabu unaondoa hiyo thamani. Maana hakuna mwanaume ambaye anataka kuokota kimgomba tu kiko hapo au kijitu tu. Hata kama akija leo na unavaa nguo za ajabu atakuwa anakudanganya tu lakini in reality akiwa anamaanisha ataenda kwa wale wanaojihifadhi vizuri" - Christina Shusho
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad