3/26/2020

Ethiopian Airlines yajikita kusafirisha mizigo kukabiliana na athari za coronaMkurugenzi Mkuu wa Shirika la ndege la Ethiopian Airlines Tewolde Gebremariam anasema shirika lake hivi sasa linajikita kusafirisha mizigo badala ya abiria ikiwa ni hatua ya kujikwamua kiuchumi kutokana na athari za maambukizi ya virusi vya corona.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a Comment

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger