3/21/2020

Hali ni Mbaya Kwa Wenzetu, Mtu Mmoja Hufa KILA Baada ya Dakika 10 Kwa Corona#Coronavirus inaua mtu mmoja kila baada ya dakika 10 nchini Irani. Idadi ya vifo kwa nchi hiyo iliyoathiriwa zaidi Mashariki ya Kati ni 1,284, huku watu 18407 wakiwa wameambukizwa virusi hivyo

Msemaji wa Wizara ya Afya, Kianush Jahanpur alituma tweet kwamba watu 50 wanaambukizwa virusi hivyo kila baada ya saa moja

Kiongozi wa juu wa Irani atawasamehe wafungwa zaidi ya 10,000 kwa juhudi za kupambana na ugonjwa huo mbaya
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a Comment

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger