3/25/2020

Hamisa Mobetto Ajitetea Kuhusu Kukutwa Hotelini na Msanii Ali Kiba...

Mobetto amesema yeye na Alikiba walinaswa hotelini huko Zanzibar sababu wanafanya project mpya ya wimbo wa pamoja. -

Pia imeelezwa wimbo huo ndio utazidi kudhihirisha vipaji vya hali ya juu walivyonavyo Mobetto na Kiba
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:
Loading...

0 Blogger:

Post a comment

Loading...

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger