3/30/2020

Kifo cha Mfanybiashara Maarufu Tanzania Aliyekufa Akiwa Rumande Chaibua Mjadala wa Haki za Watuhumiwa


Watu mbalimbali katika mitandao ya kijamii wamelaani na kusikitishwa na kifo cha ayekuwa Mwenyekiti wa Sekta binafsi nchini (TPSF) Salum Shamte ambaye amefariki akiwa rumande kwa kosa la uhujumu uchumi.

Shamte ambaye alikamatwa na polisi Oktoba mwaka jana kwa agizo la Agizo la la mkuu wa mkoa wa Tanga na kupewa kesi ya Uhujumu Uchumi na mtoto wake tangu amefariki leo asubuhi Machi 30, 2020.

Kifo cha mfanybiashara maarufu Tanzania aliyekufa akiwa rumande chaibua mjadala wa haki za watuhumiwa


HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger