3/27/2020

Kwanini Vijana wa Diamond Platnumz Hawapati DILI za Matangazo?Licha ya kufanya vizuri kwenye mitandao ya kijamii, lakini dili nyingi tunaona zikienda kwa Baba yao pekee.

Vijana wanakwama wapi kwani.

Tembo Mnyama kila siku dili mpyaaa.

Hongera Harmonize kwa jicho la fursa. Uliona mbali sanaa.

Japo wengi walikuponda kwa maamuzi yako ya kujitoa wasafi, lakini sasa wameanza kukuelewa.

Piga pesaa dogo. Mbadala wa Diamond ni wewe
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a Comment

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger