Lunch Time inavyotumiwa na Wafanyakazi Wanandoa Kuchepuka

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Usije ukajidanganya kumuona mumeo au mkeo eti anarudi nyumbani mapema na weekend hatoki ukadhani uko salama.

Sasa hivi ile lunch time kuanzia saa saba mpaka nane huko maofisini ibilisi anakuwa ameshika usukani, ikizingatiwa sasa kuna mahotel mazuri pande kariakoo, manzese, magomeni zile zinakuwa zimejaa ikifika muda huo, wake za watu na waume za watu wanakuwa wanacheza mechi za kirafiki watch out....yaaani ipo hivi makampuni mengi wana saa limoja la lunch time mchana basi hapo unaambiwa mpango lisaa linatumika ipasavyo....Juzi mfanyakazi mate wangu wa kike karudi ofisini baada ya lunch macho mekundu kachoka balaaaa, nikasome mchezo mzima nikamuuliza akajibu kiufupi mjini hapa wewe nimetoka kupata After noon Glory na kiben ten changu....na mimi nishaanza harakati za kutumia lunch time ila bado sijapata mtu ila naogopa mume wangu akijua itakuwa balaaa tupu duniani

Hili halina ubishi
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad