AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Sallam SK ameandika haya kupitia Ukurasa wake wa Instagram:
Alhamdullilah naendelea vizuri zimebakia siku chache kuweza kuchukua vipimo tena kuona kama nipo negative au positive. Nashukuru kwa dua zenu wote asanteni sana. Na pia niwashukru madaktari wote waliopo bega kwa bega na sisi tuliopo kwenye kituo. 🙏🏽🙏🏽🙏🏽19h
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK