Mke wa Boss Ananitega...

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Kibarua changu kipo hatarini kuota mbawa, anayeniponza ni mke wa boss.
Boss wangu ni mtu mzima kidogo umri umeenda lakini mke wake ni kabinti kadogo alafu bado kabichi kabisa ni kabinti ambako saizi yake ni kijana mchapakazi kama mimi.

Nimeingia kwenye mtihani mzito mimi ni Dereva mara nyingi huwa namchukua na kumpeleka anapotaka tukiwa wawili tu mimi na yeye nguo anazovaa ni full mtego naona hadi pichu ya jana nyeupe, ya leo nyekundu namuheshimu kama boss story anazoniambia ndio zilezile ivi unamke? Mara unamtoto, mara nihamie kwake, tukiwa tunakula mara anikanyage makusudi ilimradi tu visa.

Sasa wikendi ndo ilikuwa balaa badala atoke na mumewe anatoka na mimi aliniambia nimpeleke akaogelee kufika huko ananiambia vua nguo tuoge. Jamaniii! Ni zaidi ya visa kibarua nakipenda lakini ndo hivyo kinaota mbawa. Nikimduu boss akijua si ataniua, achilia mbali kazi ishtoshe mzee mwenyewe pisto kiunoni.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Sasa unataka ushauri gani?? Wewe simtu mzima?? Wabongo mna mambo.

    ReplyDelete
  2. jamani mi sionagi vizuri hapo yupi mwanamke na yupi mwanaume

    ReplyDelete
  3. kaka unalo ukiacha atakutafutia kisa kwa mumewe kwamba umemkosea adabu na ukidu jamaa akijua kazi na maisha yako viko hatarini we muombe mungu ampitishe mbali huyo shetani wa tamaa

    ReplyDelete
  4. wewe ivuke bahari maana mwisho atakuchukia nandio utapata usio ya tarajia.maana kashapanga huyo

    ReplyDelete

Top Post Ad