Mkurugenzi Simba Amkana Tshishimbi "Watu wa MEDIA Mnampaisha Sana Jamaa Hatumuitaji"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


TSHISHIMBI AIHAKIKISHIA YANGA UBINGWA – BingwaMkurugenzi mtendaji Mkuu wa Klabu ya Simba SC  Senzo Mazingiza amesema klabu hiyo haina mpango wa kumsajili mchezaji yoyote kwa sasa licha ya vyombo vya habari kutaja kuwa wameshamalizana na Pappy Tshishimbi

Mazingiza ametoa kauli hiyo kwenye mahojiani maalum na kituo cha Star Tv alipoulizwa juu ya usajili wa mchezaji huyoSenzo Mbatha: "WFS is an opportunity to learn new ideas and ...

“Suala la Tshishimbi ni nyie watu wa Media mnapushi, hakuna mtu Simba kasema tunamhitaji Tshishimbi , tunamhitaji mchezaji X, tunamhitaji Ronaldo….Ok Tshishimbi ni mchezaji mzuri sana , mchezaji anaichezea Yanga, tunamuheshimu.” amesemaRevealed: Millions of shillings Simba SC missed after Yanga SC ...

Ikumbukwe siku za hivi karibuni Papy Tshishimbi maenukuliwa na vyombo vya habari amisema kuwa tayrit ameshawasiilsha dau analolitaka kwa klabu yake ya sasa Yanga lakini hakuwapewa jibu lolote linalo eleweka na kalbu hiyo
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad